Ajali hii imetokea kilometa chache kuingia songea mjini kati ya basi Super feo na gari dogo Mark II huu ni uzembe wa madereva wetu kutokua makini wawapo barabarani |
Hili ni basi la super feo hakuna abilia aliyejeruhiwa wachache walipata mstuko tu |
Dereva wa MarkII aliumia na kukimbizwa hospitali ya mkoa songea |
Wana usalama pamoja na raia wakilisukuma gari iliyopata ajali |
No comments:
Post a Comment