MAMA SALMA KIKWETE AWASILI MKOANI LINDI KUHIMZA SHUGHULI ZA MAENDELEO.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA) mama Salma Kikwete akipokewa na viongozi wa mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege leo. Mama Salma Kikwete yuko mkoani humo kushiriki na kuhimiza shughuli za maendeleo
No comments:
Post a Comment