Mfungaji wa timu ya netiboli ya Hamambe ya Mbeya Subira Ally wa kwanza kulia (mwenye jezi ya GS) akiwania mpira na mlinzi wa timu ya Polisi Arusha wakati wa mashindano ya ligi daraja la pili ngazi ya taifa hatua ya robo fainali katika uwanja wa ndani wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo Hamambe ilishinda kwa bao 34-13. |
Saturday, April 16, 2011
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment