Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 14, 2011

KIUNGANISHI CHA MAJENGO NA SOKO MATOLA KITAKAMILIKA LINI?

Halmashauri ya jiji la MBEYA vipi hili daraja letu kiunganishi Cha Soko matola na majengo tangu mwaka jana Mwezi wa tano mmwage kifusi hicho ndiyo basi tena hatujawaona tunateseka sana 

Moja ya mitaa ya majengo katika jiji la mbeya

6 comments:

MDAU WA SOKOMATOLA TANU STREET No.15 said...

Huu sio mtaa wa kina Peter na maka mwabola huu?ambao ukienda kwa juu kidogo unaingia mpaka wa ghana na majengo nyumbani kwa kina Kenny Nsubili mwakang'ata kuelekea kwa kina mponjoli malakasuka?wadau hebu nisahihisheni kama nimekosea maana tumeondoka miaka mingi maisha hayo...lakini nasikia raha kuiona hapa mitaa niliyokua nikipita mara kwa mara

Bupe said...

kwa kweli mimi nimefurahi sana kuona hii mitaa nilikuwa nikienda kwa babu yangu sikumbuki vizuri jina la huu mtaa lakini nimeona nyumba ya babu yangu kwa chini, kwa sasa ni wapangaji lakini nimefarijika kweli kuona hii picha, mbeya yetu unarikiwe

Anonymous said...

Kama nipo mbeya majengo kwetu nimepamiss sana nitafurahi kupata na picha ya shule ya msingi mbata
Mbeya yetu blog kip it up kila cku asubuhi lazima niingie kuangalia mbeya yetublog mnanikosha nawapenda sana

Junior Matukuta(Malanyingi) said...

Ndo kwenyew hapo na hyo nyuma unayoiona hapo juu ndo kwa mzee Mwambola.
Pia wazee wa Mbeya yetu hili draja la Majengo na Sokomatola lipo kwenye hatua za mwisho kukamilika sababu mkandarasi yupo kazini sasa.Hongera Mheshimiwa diwani wa kata ya Maendeleo kwa kulisimamia,heko ndugu Shio!!

Anonymous said...

hongera mbeya yetu kwa kutuletea kumbukumbu nzuri sana ya maisha ya majengo, ubarikiweeeeee

MPONJOLI MALAKASUKA said...

i miss sana nyumbani no matter where you go home ndio kwenyewe mbeya till i die (from Mponjoli malakasuka) MBATA FOR LIFE AND SANGU FOR THE KINGS