KIUNGANISHI CHA MAJENGO NA SOKO MATOLA KITAKAMILIKA LINI?
Halmashauri ya jiji la MBEYA vipi hili daraja letu kiunganishi Cha Soko matola na majengo tangu mwaka jana Mwezi wa tano mmwage kifusi hicho ndiyo basi tena hatujawaona tunateseka sana
Moja ya mitaa ya majengo katika jiji la mbeya
6 comments:
MDAU WA SOKOMATOLA TANU STREET No.15
said...
Huu sio mtaa wa kina Peter na maka mwabola huu?ambao ukienda kwa juu kidogo unaingia mpaka wa ghana na majengo nyumbani kwa kina Kenny Nsubili mwakang'ata kuelekea kwa kina mponjoli malakasuka?wadau hebu nisahihisheni kama nimekosea maana tumeondoka miaka mingi maisha hayo...lakini nasikia raha kuiona hapa mitaa niliyokua nikipita mara kwa mara
kwa kweli mimi nimefurahi sana kuona hii mitaa nilikuwa nikienda kwa babu yangu sikumbuki vizuri jina la huu mtaa lakini nimeona nyumba ya babu yangu kwa chini, kwa sasa ni wapangaji lakini nimefarijika kweli kuona hii picha, mbeya yetu unarikiwe
Kama nipo mbeya majengo kwetu nimepamiss sana nitafurahi kupata na picha ya shule ya msingi mbata Mbeya yetu blog kip it up kila cku asubuhi lazima niingie kuangalia mbeya yetublog mnanikosha nawapenda sana
Ndo kwenyew hapo na hyo nyuma unayoiona hapo juu ndo kwa mzee Mwambola. Pia wazee wa Mbeya yetu hili draja la Majengo na Sokomatola lipo kwenye hatua za mwisho kukamilika sababu mkandarasi yupo kazini sasa.Hongera Mheshimiwa diwani wa kata ya Maendeleo kwa kulisimamia,heko ndugu Shio!!
6 comments:
Huu sio mtaa wa kina Peter na maka mwabola huu?ambao ukienda kwa juu kidogo unaingia mpaka wa ghana na majengo nyumbani kwa kina Kenny Nsubili mwakang'ata kuelekea kwa kina mponjoli malakasuka?wadau hebu nisahihisheni kama nimekosea maana tumeondoka miaka mingi maisha hayo...lakini nasikia raha kuiona hapa mitaa niliyokua nikipita mara kwa mara
kwa kweli mimi nimefurahi sana kuona hii mitaa nilikuwa nikienda kwa babu yangu sikumbuki vizuri jina la huu mtaa lakini nimeona nyumba ya babu yangu kwa chini, kwa sasa ni wapangaji lakini nimefarijika kweli kuona hii picha, mbeya yetu unarikiwe
Kama nipo mbeya majengo kwetu nimepamiss sana nitafurahi kupata na picha ya shule ya msingi mbata
Mbeya yetu blog kip it up kila cku asubuhi lazima niingie kuangalia mbeya yetublog mnanikosha nawapenda sana
Ndo kwenyew hapo na hyo nyuma unayoiona hapo juu ndo kwa mzee Mwambola.
Pia wazee wa Mbeya yetu hili draja la Majengo na Sokomatola lipo kwenye hatua za mwisho kukamilika sababu mkandarasi yupo kazini sasa.Hongera Mheshimiwa diwani wa kata ya Maendeleo kwa kulisimamia,heko ndugu Shio!!
hongera mbeya yetu kwa kutuletea kumbukumbu nzuri sana ya maisha ya majengo, ubarikiweeeeee
i miss sana nyumbani no matter where you go home ndio kwenyewe mbeya till i die (from Mponjoli malakasuka) MBATA FOR LIFE AND SANGU FOR THE KINGS
Post a Comment