Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anasikitika
kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bibi Gella Elisha Sambula
aliyekuwa Wakili wa Serikali Mwandamizi kilichotokea ghafla tarehe
26/05/2016 katika Hospitali ya Rufaa Mbeya Mazishi yatafanyika leo tarehe
28/05/2016 Mkoani Mbeya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment