Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 28, 2016

TANGAZO LA KIFO KUTOKA WIZARA YA ARDHI


Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bibi Gella Elisha Sambula aliyekuwa Wakili wa Serikali Mwandamizi kilichotokea ghafla tarehe 26/05/2016 katika Hospitali ya Rufaa Mbeya Mazishi yatafanyika leo tarehe 28/05/2016 Mkoani Mbeya.

No comments: