Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 2, 2016

NEWS LERT: COASTER YAPOTEZA MUELEKEO NA KUVAMIA DUKA MAPEMA LEO ENEO LA SOWETO
 Ajali hii  imetokea saa 12 alfajiri ya leo na kuingia kwenye duka la Mwanyanje Auto  Spea na chanzo cha ajali ni kufunguka kwa buti la pembeni la basi la Super Shem linalofanya safari za Mbeya Mwanza na buti hilo kuligonga Coaster ambayo ilipoteza mwelekeo na kuingia dukani hapo na kupelekea dereva wa Coaster kupoteza Maisha picha ya hio ni mmiliki wa duka la spea anaitwa Saimon Mwanyanje. Coaster hufanya kazi ya kubeba wafanyakazi wa Mbeya Cementi.

Taarifa kamili baadae

Na Mbeya yetu Blog

No comments: