NAIBU SPIKA WA BUNGE DR, TULIA MWANSASU AKIINGIA KATIKA MOJA YA BWENI ALILO KUA AKILALA
TULIA AKIWASILI KATIKA ENEO LA SHULE YA SEKONDARI YA LOLEZA ALIPOTEMBELEA
DR, TULIA AKISAINI DAFTALI LA WAGENI OFISINI KWA MKUU WA SHULE
BAADHI YA VIONGOZI WAKIMTAMBEZA KATIKA MAZINGIRA YA SHULE
AKITAMBELEA MOJA YA VYUMBA VYA MAABARA SHULENI HAPO
WANAFUNZI WAMLAKI KWA SHANGWE
WANAFUNZI, VIONGOZI PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WAMESIMAMA WAKIIMBA WIMBA TAIFA NA MAALUMU WA SHULE
AFISA ELIMU WA SEKONDARI JIJI LA MBEYA LYDIA HERBERT AKIONGE JAMBO
MC CHARLES MWAKIPESILE
MBUNGE SONGWE PHILPO MLUGO
MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA LOLEZA EMILY FWAMBO AKESOMA NA KUMKABIDHI RISARA KWA MENI RASMI
MGENI RASMI DR, TULIA MWANSASU AKIJIBU RISARA YA SHULE AMBAPO ALICHANGIA MILIONI 5 KUKARABATI BWENI
DADA MKUU LIGHTNESSB MAKUZA AKITOA NENO LA SHUKURANI KWA MGENI RASMI
VIONGOZI HAO WAKAONESHA UMAHILI WA KUCHEZA KWAITO
DR, TULIA AKIAGANA NA WANAFUNZI WALIOFURAHIA UJIO WAKE SHULENI HAPO
ACHANGIA
MILIONI TANO KUKARABATI JENGO HILO
Naibu
Sipika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tulia Acson mwansasu nusula
atokwe machozi alipotembela Shule ya wasicha ya Loleza iliyopo jijini Mbeya
alipofika katika bweni alilokua akilala na kukuta lipo katika hali mbaya.
Akiongea
katika mkutano na wanafuzi wa shule hiyo alipofanya ziara ya kujionea mazingira
ya eneo hilo aliliokua akisoma elimu yake ya kidato cha nne na kutembelea
maeneo mbalimba ikiwepo maktba, maabara na mabweni,
“Nimesikia
changamoto nyingi kutoka mkuu wenu wa Shule nitazichukua na kuzifanyia kazi
lakini swala la bweni limeniuma sana kwakua hapo ndipo nilipokua nikilala hivyo
ninachangia kiasi cha shlingi milioni tano kwaa jili ya ukarabati wa bweni hilo”
amesema Mwansasu.
Ameongeza
kua shule ya loleza ilikua na adbu tangu mwanzo hivyo ninawasihi kuiendeleaza
kwakua unapojaribu kufikili kuruka ukuta pia ufikili na kufukuzwa kwakua ni
shule yenye maadili makubwa na usafi wa hali ya juu.
Mkuu
wa shule hiyo Emily fwambo amesema pamoja na mazuri mengi yaliyo fanya Serikali
ya awamu ya tano chini Raisi John Pombe Magufuri shule imekua na changamoto
nyingi ikewemo uchakavu wa miundo mbinu,
Kama
vile uchakavu wa vyumba vya madalasa, mabweni, na nyumba za walimu pamoja na
udogo wa bwalo la chakula ambalo halina uwezo wa kuchukua wananafunzi wote kitu
ambacho kinasababisha wengine kula wakiwa wamsimama nje.
Nae
mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa amewataka wanafunzi haokua wasikivu na kusoma kwa bidii ili kwakua familia zao na
Taifa ilina watengemiea kua viongozi wa baadae. Hivyo wanapo kutana na changamoto
wazifanye kua fulsa.
Chanzo Malafyale leo Blog
No comments:
Post a Comment