Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, February 25, 2016

NAIBU SPIKA WA BUNGE DR, TULIA MWANSASU ASIKITISHWA NA HALI YA BWENI ALILOKUA AKILALA KATIKA SEKONDARI YA LOLEZA




 NAIBU SPIKA WA BUNGE DR, TULIA MWANSASU AKIINGIA KATIKA MOJA YA BWENI ALILO KUA AKILALA

TULIA AKIWASILI KATIKA ENEO LA SHULE YA SEKONDARI YA LOLEZA ALIPOTEMBELEA

DR, TULIA AKISAINI DAFTALI LA WAGENI OFISINI KWA MKUU WA SHULE


      BAADHI YA VIONGOZI WAKIMTAMBEZA KATIKA MAZINGIRA YA SHULE
       AKITAMBELEA MOJA YA VYUMBA VYA MAABARA SHULENI HAPO
       WANAFUNZI WAMLAKI KWA SHANGWE



WANAFUNZI, VIONGOZI PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WAMESIMAMA WAKIIMBA WIMBA TAIFA NA MAALUMU WA SHULE
 AFISA ELIMU WA SEKONDARI JIJI LA MBEYA LYDIA HERBERT AKIONGE JAMBO
                MC CHARLES MWAKIPESILE
               MBUNGE SONGWE PHILPO MLUGO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA LOLEZA EMILY FWAMBO AKESOMA NA KUMKABIDHI RISARA KWA MENI RASMI

 MGENI RASMI DR, TULIA MWANSASU AKIJIBU RISARA YA SHULE AMBAPO ALICHANGIA MILIONI 5 KUKARABATI BWENI

DADA MKUU LIGHTNESSB MAKUZA AKITOA NENO LA SHUKURANI KWA MGENI RASMI
                            VIONGOZI HAO WAKAONESHA UMAHILI WA KUCHEZA KWAITO

DR, TULIA AKIAGANA NA WANAFUNZI WALIOFURAHIA UJIO WAKE SHULENI HAPO

                                                                             

ACHANGIA MILIONI TANO KUKARABATI JENGO HILO

Naibu Sipika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tulia Acson mwansasu nusula atokwe machozi alipotembela Shule ya wasicha ya Loleza iliyopo jijini Mbeya alipofika katika bweni alilokua akilala na kukuta lipo katika hali mbaya.

Akiongea katika mkutano na wanafuzi wa shule hiyo alipofanya ziara ya kujionea mazingira ya eneo hilo aliliokua akisoma elimu yake ya kidato cha nne na kutembelea maeneo mbalimba ikiwepo maktba, maabara na mabweni,

“Nimesikia changamoto nyingi kutoka mkuu wenu wa Shule nitazichukua na kuzifanyia kazi lakini swala la bweni limeniuma sana kwakua hapo ndipo nilipokua nikilala hivyo ninachangia kiasi cha shlingi milioni tano kwaa jili ya ukarabati wa bweni hilo” amesema Mwansasu.

Ameongeza kua shule ya loleza ilikua na adbu tangu mwanzo hivyo ninawasihi kuiendeleaza kwakua unapojaribu kufikili kuruka ukuta pia ufikili na kufukuzwa kwakua ni shule yenye maadili makubwa na usafi wa hali ya juu.

Mkuu wa shule hiyo Emily fwambo amesema pamoja na mazuri mengi yaliyo fanya Serikali ya awamu ya tano chini Raisi John Pombe Magufuri shule imekua na changamoto nyingi ikewemo uchakavu wa miundo mbinu,

Kama vile uchakavu wa vyumba vya madalasa, mabweni, na nyumba za walimu pamoja na udogo wa bwalo la chakula ambalo halina uwezo wa kuchukua wananafunzi wote kitu ambacho kinasababisha wengine kula wakiwa wamsimama nje.

Nae mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa amewataka wanafunzi haokua wasikivu na  kusoma kwa bidii ili kwakua familia zao na Taifa ilina watengemiea kua viongozi wa baadae. Hivyo wanapo kutana na changamoto wazifanye kua fulsa. 

Chanzo Malafyale leo Blog

No comments: