Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, December 20, 2015

Wafanyakazi wa TBL Mbeya walivyopokea kombe la tuzo ya ushindi wa mwajiri bora 2015.

Ofisa Mipango wa Kampuni ya TBL Group kutoka  Dar es Salaam, Tumaini Moses akiwasili kwenye Uwanja wa  ndege wa  Songwe mkoani Mbeya akiwa na Kombe la tuzo ya Mwajiri  bora 2015 ambayo kampuni hiyo ilishinda hivi karibuni.

 Mkuu wa Kiwanda cha TBL tawi la Mbeya, Waziri Jemedari akipokea kombe la tuzo ya mwajiri bora kutoka kwa Afisa Mipango wa kampuni Tumaini Moses,Kombe hilo la tuzo lilikuwa mkoani Mbeya ambao wafanyakazi wote wa kiwanda icho walishiriki kusherehekea mafanikio ya kampuni yao.


Wafanyakazi wa TBL Tawi la Mbeya, wakifurahia kombe la Mwajiri Bora mwaka 2015 baada ya kuwasili 

No comments: