Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, December 14, 2015

MAHAFALI YA 14 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA MBEYA YAFANA.

Jukwaa kuu ambalo lilikaliwa na Mkuu wa Chuo kikuu cha Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Sammatta katika mahafali ya 14 ya Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Forest ya zamani jijini Mbeya.


Brass band ya Jeshi la Magereza Kiwira ikiongoza maandamano ya kitaaluma kuelekea katika viwanja vya Sherehe za mahafali ya 14 ya Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Mbeya

Wahadhiri mbali mbali wakiwa kwenye maandamano ya kitaaluma wakati wa Mahafali ya 14 ya Chuo kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya

Wahitimu wa ngazi ya Shahada ya Uzamili wakifuatilia kwa makini sherehe za mahafali ya 14 ya Chuo kikuu Mzumbe

Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akiwa na furaha baada ya kutunukiwa Cheti chake.

Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akipongezwa na mtoto wake baada ya mahafali kuisha.

Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akipongezwa na Mwanahabari na MC Maarufu mkoani Mbeya Charles Mwakipesile ambaye alikuwa mgeni mwalikwa katika mahafali ya 14 ya Chuo kikuu mzumbe kampasi ya Mbeya.

Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akipokea maua na zawadi kutoka kwa mtoto wake kama ishara ya kumpongeza mama yake kwa kuhitimu.

Na MBEYA YETU,

No comments: