Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, August 15, 2015

MAFURIKO JIJINI MBEYA.. NI KATIKA MKUTANO WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA UKAWA EDWARD LOWASSA JANA.

Mgombea wa Urais wa Ukawa Edward Lowassa akisalimiana na Wakazi wa Mbeya 
Mgombea Urais wa Ukawa Edward Lowasa akizungumza na wakazi wa Jiji la Mbeya
 Mh. Mbowe akiingia katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe 
Mh. Lowassa akiwa anawasili uwanja wa Ruanda Nzovwe 
 Kioja Hiki ... Hii ni Boda Boda iliyotengenezwa kwa mfano wa Chopa imetoka Kyela kuja kumshuhudia Lowassa
 Mh. Lowassa akiwa anatoka kidogo lakini Baadae alirejea tena 
 Wakazi wa Mbeya Katika mkutano huo 

Picha na Mbeya yetu

No comments: