Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 30, 2015

TANGAZO LA KIFO CHA MZEE Whynjones Abel Sabuni wa MBEYA

Marehemu  Whynjones Abel Sabuni 1942-2015

Marehemu  Whynjones Abel Sabuni amefariki tarehe 28 /7/2015  jijini DSM mwili wa marehemu unasafirishwa leo  tarehe 30 kuelekea  Usangi Same kwa mazishi
 Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
Amen

No comments: