Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, July 19, 2015

PENIEL MWAISANGO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA MAENDELEO SOKOMATOLA JIJINI MBEYA .. ACHUKUA FOMU

 Kushoto ni Katibu wa Kata ya Maendeleo Mwakibuti akimkabidhi fomu Peniel Mwaisango ambaye anagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Maendeleo Soko matola
 Peniel Mwaisango akionesha fomu yake muda mchache baada ya kukabidhiwa
Baadhi ya wadau wakimngojea mtangaza nia ya kugombea Udiwani kata ya Maendeleo Sokomatola Peniel Mwaisango

Picha na Mbeya yetu

No comments: