Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 12, 2015

SHEREHE YA WAANDISHI WA HABARI MBEYA (MEDIA DAY) FUNIKA


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyiremba Munasa( katikati) akiwa pamoja na viongozi wa chama cha waandishi wa habari mkoani mbeya (Mbeya press) Mwenyekiti Modestus Mkulu kushoto na Emanuel Lengwa Katibu,Katika sherehe ya waandishi wa habari Mkoani hapa ambayo imefanyika June 11 katika ukumbi wa JM Hotel Picha Keneth Ngelesi

Baadhi ya Waandishi wa habari na wadau mbalimbali wakiburudika katika sherehe hiyo ya waandishi wa habari June 11 mwaka huu katika ukumbi wa Jm Hotel jijini Mbeya.Emanuel Lengwa katika Mbeya Press akitoa neno katika hafla hiyo.


Mwandishi Mkongwe na Rias Mstaafu wa UTPC Mzee Mwakilili akizungumza katika hafla hiyoMwenyekiti Mbeya Press Club Modestus Mkulu akizungumza katika hafla hiyo iliyoandaliwa kwa lengo la kuadhimisha siku ya waandishi wa habari Duniani Media Day katika ukumbi wa hotel ya Jm forest jijini Mbeya June 11 mwaka huu.

Mwandishi wa mwandamizi wa Mbeya yetu blog- Joseph Mwaisango akiteta jambo na mwandishi wa channel Ten Mbeya Saada Matiku katika sherehe ya wandishi wa habari iliyofanyika katika ukumbi wa hotel ya Jm forest jijini hapa June 11 mwaka huu na  kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
serebuka timeMzee wa mavitusi Solomon Mwansele mwandishi Uhuru-Mzalendo Mbeya katika ubora wake .


Weeeeee Acha tu!!!!!!!!!! Mzee Mwambona katika ubora wakePicha na jamii moja blog

No comments: