Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 17, 2015

BREAKING NEWS: ZAIDI YA WATU KUMI WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA TUKUYU LEO

Taarifa tulizopata ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba Gari ya Abiria aina ya Toyota Hiace imepata Ajali eneo la Kiwira Tukuyu Wilayani Rungwe , Likiwa linatoka Mbeya kwenda Gurio. Mpaka sasa Timu ya Mbeya yetu ipo njiani kuelekea eneo la Tukio tutawajuza.

Fuatilia...

3 comments:

FREDY MASABA said...

Poleni sana wana mbeya kwa ajari hiyo.

Anonymous said...

Madereva acheni hasira munapoendesha vyombo vya moto. Sifa pia zinaangamiza watu. Wewe sio wa kwanza kujua kuendesha gari. Mungu awaponye majeruhi na awapumzishe kwa amani wale wote waliofariki dunia Amina.

Anonymous said...

hee mpaka saiv hamjafika tu? tuendelee kufuatilia nini? yaan mnachelewa sana kutoa taarifa za maana kama taarifa ya jeshi la polisi na hasa hasa pale serikali inapokosolewa na vyama pinzani vikiwa mbeya hata watu kuzipata kwa glob za nje ya mkoa tena za watu binafsi, lakini habari za CCM na kuisifia serikali yake dakika mbili mmepost na picha juu, badilikeni au mjiite CCM MBEYA BLOG manake tumechoka na upendeleo wenu na uchelewaji wenu.