Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, February 20, 2015

NEWS ALERT: TUKIO KATIKA PICHA MVUA KUBWA YALETA KIZAZAA ILEMI JIJINI MBEYA

MVUA zilizonyesha kwa dakika 20 katika maeneo tofauti jijini Mbeya imesababisha hasara kutokana na kuezua baadhi ya nyumba na shule ya Msingi Juhudi Kata ya Iganzo.
Madarasa mawili na ofisi ya Mwalimu mkuu pamoja na nyumba zaidi ya 30 za wananchi zilikumbwa na adha hiyo kutokana na upepo huo.
Akizungumzia tukio hilo, Mwalimu mkuu wa Shule hiyo,alisema hakuna madhara ya kibinadamu.
Na Mbeya Yetu ..

Taarifa kamili inakuja

No comments: