Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, February 2, 2015

DARAJA LA IWOWO MBEYA VIJIJINI UJENZI WAFIKIA HATUA ZA MWISHO KUKAMILIKA

Daraja la Iwowo Mbeya Vijijini kata ya Isuto lafikia hatua ya mwisho kukamilika na kuanza kutumika


Barabara ya Mbeya vijijini zinazohudumia kusafirisha Kahawa  Pareto na mazao mbalimbali ya wakulima ili kuwafikia walaji na wafanyabiashara barabarahizi zipo chini ya Halmashauri ya wilaya ya Mbeya


Haya ni maeneo ya Shigamba  Mbeya vijijini kata ya Isuto

No comments: