Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, January 21, 2015

TANGAZO… TANGAZO… MAGARI MAWILI YANAUZWA!




Magari mawili yanauzwa  yako katika hali nzuri kabisa yanatembea Yametumika miezi michache tu

1.     TOYOTA HIACE imetengenezwa Japan ni nzuri kwa Biashara, rangi nyeupe ina namba za usajili T 536 CZB hii inaonesha kuwa gari ni mpya imetembea Kilomita 85224 tu, imelipiwa Sumatra, Bima, TRA na Motor vehicle.

Bei ni maelewano!!.

2.   NOAH townace Super Extra, ina rangi ya Blue namba za usajili T 874 CYQ iko katika hali nzuri haina tatizo lolote pia imelipiwa kila kitu, imetembea Kilomita 106424 tu.

Bei maelewano, Nyote mnakaribishwa zipo hapa hapa Mbeya mjini muda wowote utaweza kuoneshwa.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatavyo;

0755 063513,  0754 374408.

No comments: