Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 17, 2015

FURSA FURSA FURSA KAZI KWAKO: TANUA WIGO WA BIASHARA YAKO SASA AU SHUGHULI ZAKO ZOZOTE TANGAZA NASI, MAWASILIANO 0765056399/0654221465 , SOMA HAPA


  


MUHIMU  KWA WAHUSIKA WOTE

Kwa maelezo zaidi na Jinsi ya kutangaza Piga simu namba, Whatsapp, au SMS  +255765056399 au +255654221465

Tangazo litumwe hapa blogzamikoa@live.com

Tone Multimedia Company Limited Wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania www.blogszamikoa.blogspot.com  Mbeya yetu Blog ikiwa ndani yake, tunawapa fursa kila mmoja kutanua biashara yake sasa, kumbuka ukitangaza na nini utapata blog moja ofa kuweka tangazo lako utakayo ichagua wewe. 

Mambo ya fuatayo ni Bure. Kutangaza Taarifa ya Msiba, Sherehe zote, na Taarifa ya kupotelewa 

 Njoo sasa utangaze Shule yako, Taasisi ama Chuo chochote hapa

Wale ambao wanafanya Biashara za Udalali, Kuuza nyumba , Magari, Viwanja , Kupangisha  nyumba, kuuza vitu mbalimbali na mambo kama hayo pia nafasi hiyo mnayo kutangaza vitu vyenu hapa na katika Blog zengine za Mkoani.

Wenye Mahoteli, Bar, Migahawa, wanaopamba kumbi za Sherehe Mbalimbali, Wale wasema Chochote yaani ma MC , Saluni, Maduka ya Nguo, Simu, Vifaa vya Umeme, Spea za Magari, Wanaofanya kazi za Kupiga picha za Mnato na Video, Watengeneza Keki na Waandaaji wa Chakula, Wanamuziki wa aina zote Pia ni nafasi yenu kutangaza ama kutambulisha kazi zenu hapa kwa Gharama sawa na Bure.

Bila kusahau kama kuna Mkutano wa aina yoyote , Kongamano, Tamasha, Sherehe yoyote pia  karibuni kutumia nafasi hii kujitangaza ili watu zaidi wapate kuwaona.

Kumbuka  kuwa Mitandao ya Kijamii(Blog)  ndio Jibu lako la Biashara yako na mambo mbalimbali yaliyotajwa hapo juu fanya maamuzi sahihi Tangaza hapa nasi Tutakutendea haki , Hili ni chaguo lako


Baadhi ya watu tuliofanya nao kazi ni Pamoja na PSPF Tanzania , Jetlink Kenya, Vodacom Tanzania, Uchumi Supermarket, Nashera Hotel, Eco Bank Tanzania, Maisha Plus, Safari Lager, CBE, Teofilo Kisanji  University, OXFAM Tanzania, TIA, Sibuka TV, Mabibo Beer and Wine , Zuku, Mlimani City, B-Blue, Com Net, Amana Bank, Mbeya water Spring, Mbeya Hotel,Beaco Hotel,  ALAF na wengine wengi.


Kwa maelezo zaidi na Jinsi ya kutangaza Piga simu namba, Whatsapp, au SMS  +255765056399 au +255654221465

Imetolewa na:
No comments: