Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, December 12, 2014

SHEREHE YA KITCHEN PARTY YA ANOELA NJOGOPA YAFANA KATIKA UKUMBI WA MANDELA JIJINI MBEYA

 Anoela Njogopa ambaye ndiye anayefanyiwa Sherehe ya Kitchen Party akiwa na Furaha  wakati Sherehe ikiendelea.
Kamati ya maandalizi
Wageni waalikwa

Zawadi Mbali mbali zilitolewa

Anoela Njogopa akimlisha Keki mama yake Mpenzi kwa ishara ya upendo 

Anoela Njogopa  akiwa na pamoja na Kamati Nzito kabisa ya Maandalizi ya Kitchen Party yake Anoela alitoa salam za Shukurani za Dhati kwa wao kufanikisha Sherehe nzima mwanzo mpaka mwisho, vile vile akiendelea kuwashukuru wale wote walioungana nae katika Sherehe yake .

Sasa Muda wa sikelewuu... Ngololo.... Kwaito burudani zaidi .. kila mtu na Style yake wakati wa Sherehe za Kumfanyia Kitchen Party Anoela Njogopa

Picha na Mbeya yetu

No comments: