|
Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na washiriki wa mchezo katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Kumbukumbu ya sokoine jijini Mbeya timu
|
| Meya wa jiji la Mbeya Athanasi Kapunga akimshukuru mkuu wa mkoa Mbeya kwa hotuba yake yake aliyoitoa katika siku ya maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru |
| Viongozi mbalimbali na wananchi walishikiri katika maadhimisho hayo |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro akisalimiana na viongozi wa timu ya serikali kabla mpambano huo haujaanza |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro akisalimiana na wachezaji wa timu ya viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali ya mkoa wa Mbeya |
|
Kikosi cha Viongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoani Mbeya
|
|
Kikosi cha Viongozi wa serikali Mkoani Mbeya
|
|
Viongozi wa Dini waliibuka kidedea kwa ushindi wa goli
4 kwa mbili dhidi ya timu ya viongozi wa serikali
|
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro akielekea kukagua timu ya mpira wa mikono ya wanawake
|
| Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment