Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, December 5, 2014

NEWS ALERT: ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO MLIMA NYOKA LEO BAADA YA BASI LA MBUKIO MISSIO KUGONGANA NA LORI LA MAFUTA

Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa na Dereva wa Basi hilo, Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha jina la Basi hilo lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali hiyo, Nia na lengo la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Lori la Mafuta lenye namba za Usajiri T332 AGA ambalo Dereva wake Godfrey Lyimo (33) alikuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi, Hapa Lori hilo la mafuta liliwa Limepinduka.
Basi la Mbukio Missio Likiwa limeharibika vibaya kwa mbele baada ya ajali hiyo

Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo
Baadhi ya Abiria , Washuhudiaji pamoja na Askari wakiwa eneo la Mlima Nyoka ambapo ajali ilipo tokea
Picha na Mbeya yetu Blog

No comments: