| Wito Mwandunga akiwa na mkewe Agnes Pondo |
| Agnes Pondo akimvisha pete mumewe Wito Mwanduka ndoa iliyofungwa katika kanisa Moravian Usharika wa mabatini jijini Mbeya |
| Maharusi wakilishana keki |
| Mwenyekiti wakamati kuu ya harusi hiyo Ipyana Malabeja akipokea zawadi ya keki toka kwa maharusi |
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abass Kandoro akiwapongeza maharusi |
| Ipyana na Levina wakiwa na furaha baada ya rafiki zao wakubwa kufnga pingu za maisha |
| Wageni waalikwa ndani ya ukumbi wa Rehema jijini Mbeya wakifuatilia matukio ya harusi hiyo |
| Maharusi wakitoka ukumbini huku wakiwashukuru waalikwa wote waliohudhuria sherehe yao Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment