Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, November 6, 2014

HARUSI YA WITO NA AGNES YAFANA JIJINI MBEYA

Wito Mwandunga akiwa na mkewe Agnes Pondo

Agnes Pondo akimvisha pete mumewe Wito Mwanduka ndoa iliyofungwa katika kanisa Moravian Usharika wa mabatini jijini Mbeya


Maharusi wakilishana keki

Mwenyekiti wakamati kuu ya harusi hiyo Ipyana Malabeja akipokea zawadi ya keki toka kwa maharusi

Mkuu wa mkoa Mbeya Abass Kandoro akiwapongeza maharusiIpyana na Levina wakiwa na furaha baada ya rafiki zao wakubwa kufnga pingu za maisha

Wageni waalikwa ndani ya ukumbi wa Rehema jijini Mbeya wakifuatilia matukio ya harusi hiyo

Maharusi wakitoka ukumbini huku wakiwashukuru waalikwa wote waliohudhuria sherehe yao

Picha na Mbeya yetu

No comments: