Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 7, 2014

BREAKING NEWS: BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI ASUBUHI HII ENEO LA IGURUSI LIKITOKEA MBEYA KUELEKEA DAR

Taarifa zilizotufikia Muda huu zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea katika eneo la Igurusi , Kikosi kazi cha Mbeya yetu kinaelekea eneo la Tukio muda huu . Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia hapa

Mbeya yetu

No comments: