Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 14, 2014

VIJANA WA FOREST MBEYA WAMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUFANYA USAFI

Vijana wa kata ya Forest jijini Mbeya wameungana pamoja bila ya kujali itikadi zao za kisiasa na kufanya usafi maeneo yote yanayozungu  kata yako ya Forest kumuenzi Baba wa taifa zoezi hili litaendelea zaidi ya wiki mbili pia wameahidi kumchukulia hatua mtu yeyote yule atakaekiuka kanuni sa usafi kata hiyo ya Forest 


Hongereni sana vijana wa Forest kwa mfano huo Mbeya yetu tunawapongeza sana  tunaomba vijana wa kata nyingine igeni mfano huu siyo kila siku tuwategemee Halmashauri ya jiji waje watufanyie usafi



Pia vijana hawa wanawashukuru wadau mbalimbali waliojitokeza kuwasaidia vifaa vya kufanyia kazi pamoja na maji ya kunywa






Baadhi ya Vijana wa kata ya Foret wakiwa katika picha ya pamoja 

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni sana vijana wetu kwa moyo wa kujitolea kuusafisha na kuundolea aibu mji wetu. Nafikiri sasa ni jukumu lenu kukamata wote wanaoenda kinyume na sheria ya usafi na wapigwe faini hadharani. pesa zinazopatikana kwa faini zinunue vifaa vya usafi au kujenga dampo kubwa la kuhifadhiwa takataka.