| Hatimae jiji la Mbeya limeanza kutengeneza barabara ya South Street mtaa huu ulikuwa maarufu sana hapo nyuma na ulijulikana kwa jina la mtaa wa RTC sasa unaitwa mtaa wa tunakopesha |
| Hakika kazi tunaiona hivyo tunawaomba jiji mikamilishe mapema kazi hii ili muendelee na maeneo mengine ya jiji hili letu |
| Hizi picha kabla barabara hii haijaanza kutengenezwa |
| Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment