Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, September 15, 2014

TOCHI YA MBEYA YETU YAMULIKIA MITAA YA ISYESYEPicha na Mbeya yetu

3 comments:

Anonymous said...

Lo! sikujua kama mtaa wa Isyesye ni kuzuri kiasi hicho kunapendeza kwa barabara zake. Hongera jiji la Mbeya kwa ukarabati wa barabara za mitaani. Veta kule jamani na barabara ya Iyunga kupitia Iyunga Secondary, nayo ile ingekuwa msaada mkubwa sana kama ingewekewa Lami. Ni ushauri tu kwa viongozi wa Jiji la Mbeya.

Anonymous said...

Jamani kwetu kuzuri

Anonymous said...

sasa Mbeya inakaribia kuwa hadhi ya jiji! hongereni mamlaka husika kwa barabara nzuri,ingawa sijui ubora wake!!