Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 13, 2014

JE HII NI SAWA! MTAZAME BODA BODA HUYU

Mbeya yetu iliinasa hii Kasumulu, Jamaa akiwa amebeba mzigo Sasa hapa mdau wetu unasemaje kuna usalama kweli na Je anaonaje huyu jamaa hapa?  na ukitazama picha hii utagundua  Abiria ndiye anaye mtazamia  .Na kwa sheria za Barabarani hivi ndivyo mizigo inatakiwa kubebwa?

Karibu kutoa Maoni yako juu ya hili....

Picha na Mbeya yetu

No comments: