Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 13, 2014

DAVIS NA HELIETH CHAHE WAMELEMETA


Davis Chahe akiwa na Mke wake Mpendwa Helieth 

Bwana Harusi Davis Chahe akimvisha pete ya Ndoa Mke wake Mpenzi Helieth ndoa iliyofungwa katika kanisa la TAG Ilomba

Mmoja wa wanakamati ya maandalizi ya harusi hii Helieth wa kwanza kushoto akiwakabidhi maharusi moja ya zawadi kwa niaba ya wanakamati wote

Picha ya pamoja maharusi na wanakamati wakati wa sherehe hiyo ndani ya Ukumbi wa Mtenda Sunset.

Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu 

Nao wasindikizaji wakiwa katika picha ya pamoja kwa nyuso za Furaha


No comments: