Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, September 12, 2014

BREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. ABBAS KANDORO AWAASA MADEREVA WA MABASI PAMOJA NA ABIRIA KUHUSIANA NA USALAMA PAMOJA NA AJALI ZILIZOTOKEA HIVI KARIBUNI.

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria leo asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi Mbeya
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa katika mkutano huo

Baadhi ya Madereva, Abiria na ma Agent wa mabasi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Mabasi yakianza kuondoka

Habari kamili itawajia hapo baadae

Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana mh. Kandoro, wakuu wote wa mikoa wakifanya kama wewe ulivyofanya ajali zitakoma kabisa bongo. Mungu akubariki sana kwa jitihada zako, tumeziona.