Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, August 4, 2014

WATU WENGI WAFURAHISHWA NA HUDUMA NZURI KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI NANE NANE MBEYA

ENDELEA KUTAZAMA CHINI UPATE KU 'DOWNLOAD' FOMU ZA KUJIUNGA NA MASOMO YA NGAZI YA STASHAHADA NA CHETI 
Banda la TEKU ndani jengo la Taso
Afisa Uhusiano (PRO)wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Anselm Sichone wa kwanza kutoka kulia akiwa anatoa maelezo ya kina ya Juu ya chuo hicho na kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo yanahusiana na Chuo hicho
 Msimamizi wa Duka la Vitabu kutoka Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Happy Aloyce wa kwanza kutoka kulia akiendelea kutoa maelezo na kujibu maswali mbalimbali ya watu waliotembelea katika Banda hilo na kujifunza mengi.
 Afisa Uhusiano (PRO)wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Anselm Sichone wa kwanza kutoka kulia akisikiliza kwa makini baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa na watu waliotembelea katika Banda hilo
 Baadhi ya waliofika katika Banda la Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji wakiwa wanasoma Vitabu mbalimbali katika Banda hilo.
 Zakaria Mahinya anayehusika na maswala ya 'Information Technology' Kutoka Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji akiwa anatoa maelezo juu ya kujiunga na Chuo hicho pia kueleza jinsi ya kupata fomu hizo pamoja na maelezo ya kujiunga na chuo hicho katika mtandao wa Chuo  hicho.
Juma  Mgalama mfanyakazi wa Chuo kikuu cha Teofilo  Kisanji akionesha baadhi ya masomo ambayo yanatolewa na chuo hicho Mwaka huu kwa ngazi ya Cheti na Stashahada

Picha na Mbeya yetu


SOMA NA DOWNLOAD FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU  CHA TEOFILO KISANJI HAPA


SOMA NA 'DOWNLOAD' FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI HAPA

 
SOMA NA 'DOWNLOAD' FOMU ZA MAOMBI NGAZI YA STASHAHADA

SOMA NA DOWNLOAD FOMU ZA MAOMBI NGAZI YA CHETI

WASILIANA NASI SASA KUPITIA
S.L.P 1104
NAMBA ZA SIMU: +255252502682
NAMBA YA FAX: +255252503721

NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI

+255769834066,+255754272113 na +255758581
BARUA PEPE: info@teku.ac.tz au admission@teku.ac.tz

No comments: