Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, August 4, 2014

BANDA LA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA ( TIA) WAENDELEA KUTOA HUDUMA BORA NDANI YA BANDA LAO KATIKA UWANJA WA NANE NANE MKOA WA MBEYA.

 Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh.Josephine Matiro akipata maelezo katika Banda la TIA
 Baadhi ya watu wakiendelea kupata Maelezo Jinsi ya Kujiunga na Chuo cha TIA
Lilian Mpanju Rugatika Afisa Masoko na Masoko mwandamizi kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wa kwanza kushoto akiendelea kutoa maelezo kwa watu waliofika katika banda la TIA

Banda la TIA

****

No comments: