Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, August 21, 2014

TUNAENDELEA NA MAAJABU YA BARABARA ZA MBEYA: WANANCHI WA ISANGA WALIA NA BARABARA HII ILIYOGEUKA KAMA ENEO LA MACHIMBO ! JIJI MBEYA MPO?

 Mashimo ya kutosha katika njia hii...
 Unaweza kusema hili ni Karavati kumbe ni bonge la Shimo
 Hapa si eneo la Machimbo ya Mchanga lakini Barabara imeharibika
 Hapa ni sehemu maalum ya kuangalizia gari, Bajaji, Baiskeli, au Bodaboda kama zimepata Pancha au tatizo lolote kabla ya kuanza safari ya kuingia katika mashimo tena, pia hapa magari mengi hupumzika.
 Hapa Full Mix huwezi jua gari gani linaenda wapi
 Kushoto jamaa mpanda Baiskeli akijihami na spedi mkononi wakati akikatiza katika barabara hiyo
 Hapa hapatamaniki
 Hatari mawe yanayoweza choma Matairi na kusababisha maafa
 Kushoto kulia ... kushoto kulia... tutafika
 Hapa mdau weka Caption yako.....
 Bajaji inakwepa shimo hadi inataka poteza mwelekeo
 Sasa hiii Barabara si Bora ingechimbwa ifahamike tuu kulipo kama inavyo onekana hapa sasa

 Sasa wengine wamehamishia Dampo

SWALI LINABAKI PALE PALE, JE ENEO HILI LA ISANGA HALIPO KATIKA RAMANI YA JIJI LA MBEYA?

KWA MAONI YETU KAMA MBEYA YETU, TUNAISHAURI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KUMUOMBA MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO KAMA WALIVYOFANYA META-STENDI KUU.

TOA MAONI YAKO JUU YA HILI.

PICHA NA MBEYA YETU

2 comments:

Anonymous said...

Swali la kujiuliza ushuru unaokusanywa kwa bajaji zaidi 100,wafanyabiashara Lila siku fedha zinakwenda wapi? Ama sababu diwani was iganzo sio wa ccm ndio adhabu kwa wananchi?aaa jiji acheni ufala rekebisheni Barabara bwana

Anonymous said...

mimi kwa mtazo wangu, jiji ndio wazembe. kupitisha magari zaidi ya toni 10