Marehemu Mzee Adam Lutufyo Mwaigomole Enzi za Uhai wake
Mwili wa Marehemu ukiwa umewasili Kijijini kwake Mwela Tayari kwa Mazishi
Mtumishi wa Mungu akimshukuru Mungu Mara baada ya Mwili wa Marehemu kuwasili
Waombolezaji wakiwa Nyumbani kwa Marehemu
Baadhi ya Wachungaji na Viungozi wa Dini wakiwa katika Msiba huo
Waombolezaji wakiwa Makaburini
Mwili wa Marehemu Mwaigomole ukiingizwa kanisani
Mwili wa Marehemu ukiwa Kanisani kuombewa kwa Mara ya Mwisho na Kupelekwa Katika Maziko
Wa nne kutoka Kulia aliyevaa kitambaa cha Dhambalau ni Mke wa Marehemu Mwaigomole akiwa na wanafamilia
Wachungaji wakiwa kanisani
Waumini wakisindikiza Mwili wa Marehemu kutoka Nje kuelekea makaburini kwa ajili ya Maziko
Mwili wa Marehemu ukiwa Tayari unatolewa kuelekea Makaburini
Mwili wa Marehemu ukiwa Tayari kwa ajili ya kuingizwa Kaburini
Mtumishi wa Mungu akiwa Anatoa neno fupi kabla ya kuanza Mazishi
Mke wa marehemu wakwanza kushoto aliyekaa akiwa kaburini Kumsindikiza Marehemu mume wake Adam Mwaigomole
Mwili wa Marehemu Adam Mwaigomole ukiwa umeshushwa katika Nyumba yake ya Milele
Mtumishi wa Mungu akiweka Mchanga katika Kaburi ishara ya kufukia Mwili wa Marehemu na kuendelea na Taratibu za Mazishi.
1 comment:
Pole kwa wafiwa na ndugu wote wa karibu kwa kuondokewa na mzee wetu,tumwombee kwa mungu ampumzishe mahali pema peponi.
Post a Comment