Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, August 8, 2014

LIVE MUDA HUU AMSHA AMSHA YA KILELE CHA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA NYANDA YA JUU KUSINI MBEYA.

Banda la Mbeya Yetu ambao wanakuletea Tukio zima moja kwa moja kupitia hapa hapa.
 Kutoka Kulia ni Mtangazaji wa TBC 1 Hosea Cheyo akiwa anajiandaa na kuweka mambo sawa tayari kwa kuanza kazi kushoto ni Fredy Anthony akiwa anaendelea kuweka utaratibu sawa wa kwenda hewani moja kwa moja
 Watu mbalimbali wakiwa wanaanza kuingia hapa wa pili kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Clouds TV na Radio Mpanji akiwa tayari kwa kazi
Mbunge Mstaafu wa Rukwa Dr. Christian Mzindakaya akiwa anahojiwa na kutoa mtazamo wake wa maonesho ya nane nane
 Kushoto ni Joseph Mwaisango wakiendelea na kazi ....
Mambo yanaendelea
Wanafunzi Mbalimbali wakiwa wanajiandaa kuingia katika maonesho ya Nane nane
 Watu wakianza kumiminika katika Banda la nane nane
 Wanafunzi nao wameanza miminika


Picha na Mbeya yetu

No comments: