Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, August 29, 2014

BREAKING NEWS LIVE MUDA HUU: ILIYOKUWA HOTEL YA STOCKHOLM UYOLE MBEYA YAUNGUA KWA MOTO MUDA HUU

Moshi ukitoka katika Hoteli hiyo
 Kikosi cha zima moto wakiwa kazini kuzima moto huo  Moto ukiendelea kuwaka katika Hoteli hiyo
 Kwa Mbali kikosi cha zima moto wakiendelea kuzima moto huo
 Mashuhuda wakitazama Tukio hilo ka kuungua moto kwa hoteli hiyo
 Kushoto ni mmiliki wa Hoteli hiyo akiwa katika eneo la tukio
Hoteli hiyo
KIKOSI KAZI CHA MBEYA YETU KIPO ENEO LA TUKIO SASA ENDELEA KUFUATILIA KWA TAARIFA KAMILI

NA MBEYA YETU

No comments: