Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, July 19, 2014

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

MBEYA LIVING LAB NI SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI  (NGO)
LILILOPO MAFYATI KARIBU NA MBEYA CARNIVAL SAMBAMBA 
NA KWALE TRAVELLERS LODGE NA MAKYANDU

TUNAYOFURAHA KUBWA KUKUALIKA WEWE MKAZI WA MBEYA 
KATIKA MKUTANO WA KIJAMII.
UTAKAOIPA NAFASI JAMII YA MBEYA KUFAHAMU MASUALA 
MBALIMBALI TUNAYOJIHUSISHA NAYO KATIKA KUIKOMBOA
JAMII JUU YA UMASKINISIKU YA JUMAPILI TAREHE 20/07/2014

MUDA  03:30--05:00 JIONI

ENEO MAFYATI

MAWASILIANO  0766 72 66 98  /  0714 83 19 16

WALENGWA  UMRI KUANZIA MIAKA 13 NA KUENDELEA
JINSIA ZOTE NA KIWANGO CHA ELIMU CHOCHOTE

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments: