Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, July 23, 2014

58 WACHUANA MASHINDANO YA KUHIFADHI KORAN TUKUFU JIJINI MBEYA


Abubakari Muharram(13) mshindi wa kuhifadhi na kusoma Koran Tukufu Juzuu 10
Mmoja wa wadhamini wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran Jijini Mbeya Khalfan Masoud akimpongeza mshindi na msomaji wa koran aliyehifadhi Juzuu 10 Abubakar Muharram katika mashindano yaliyofanyika leo Jijini Mbeya katika msikiti mkuu uliopo BARABARA ya 8.

Majaji wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran wakifuatilia kwa makini namna ambavyo vijana wakichuana kusoma na kuhifadhi Koran katika  msikiti wa Barabara ya 8 Sokomatola Jijini Mbeya.

Kutazama Picha zaidi Bofya hapa
Picha na Rashid Mkwinda Blog

No comments: