Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 24, 2014

MPYA KUTOKA TONE MULTIMEDIA GROUP INAKULETEA , TONE MOBILE NEWS BURE !Tone Multimedia Group kupitia Tone Multimedia Company Limited Ambao ni Wamiliki wa Mtandao huu wa  Mbeya yetu pamoja na Blogs za Mikoa yote Tanzania yaani www.blogszamikoa.blogspot.com tunakuletea Huduma mpya na Bure kabisa iitwayo TONE MOBILE NEWS ni huduma ya Bure kabisa ambayo itakuweka Jirani na Tanzania pia  Dunia kwa ujumla, ni Bure kabisa, Utapata Taarifa zilizotokea papo hapo, utapata vichwa vya Magezeti mbalimbali ya Tanzania, utajua mambo mengi sana. 
Unachotakiwa kufanya ni Rahisi sana Chukuwa simu yako Save namba hii +255756 364660 Kisha katika uwanja wa kutuma ujumbe wa Whatsapp andika neno TONE MOBILE NEWS Kwenda namba hii hii +255756 364660  Kisha Tuma ujumbe huo utakuwa umeunganishwa moja kwa moja ni Bure kwa mtu yoyote.
Ukipata Ujumbe huu wape Taarifa na wengine. Hakuna Gharama zozote.

Imeletwa kwenu na Timu nzima ya
TONE MULTIMEDIA GROUP 

No comments: