Wakishangilia kwa pamoja mara baada ya kukata utepe |
Mkuu wa Mkoa akipeana Mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa
miradi wa Kampuni ya CICO Ndugu Meng Yuan kampuni ambayo imejenga barabara
hiyo.
|
Hii ndiyo Barabara iliyozinduliwa |
Baadhi ya viongozi toka MUST wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi |
|
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro akizungumza
katika ufunguzi wa barabara mpya kutoka eneo la Meta hadi Stendi kuu ya Mabasi
jijini Mbeya yenye urefu wa kilomita 2
|
Dr Norman Sigalla Mkuu wa wilaya ya Mbeya akimkaribisha mgeni rasmi |
Meya wa Jiji la Mbeya ,Athanas Kapunga akiongea na wananchi katika uzinduzi wa barabara hiyo
|
|
Waheshimiwa Madiwani |
Na Mbeya yetu |
1 comment:
Barabara inatoka wapi na inaelekea wapi ? weka habari kamili !!
Post a Comment