| Dawa hizo a kulevya zateketezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi |
| Madawa hayo yakitumbukizwa katika tanuru la moto mkali |
![]() |
|
Raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack, na mkewe Anastazia Cloete. wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa hayo Kesi yao bado inaendelea
Na Mbeya yetu
|

No comments:
Post a Comment