Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, July 29, 2014

HAPPY BIRTHDAY HEAD OF GROUP RESEARCH AND PRODUCT DEVELOPMENT FREDY ANTHONY .

Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group Fredy Anthony Njeje
******

TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Fredy Anthony Njeje ambaye ndiye Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Company Limited na Mbunifu Mkuu wa Product zote za Kampuni akishirikiana na Timu nzima ya TMCL na   Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL)  ambao pia ni wamiliki wa products za Website Maalum ya Tone Multimedia Group  Blogs za Mikoa TanzaniaTone Radio-Tz , This Day MagazineStay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz  , Matukio na Wanavyuo , Watanzania waishio nje ya Nchi  na Tone Mobile News Alert  kwa kutimiza miaka yake kadhaa siku ya Leo.

Tunapenda kumpa Hongera sana kwa kazi nzito ambazo anazifanya ili kuwaletea wadau habari zilizo sahihi na za uhakika zaidi kutoka pande zote za Mkoa wa Mbeya, Pia tunamuombea kwa Mungu ampe siku nyingi zaidi , Afya Njema na aendelee kuwa mbunifu zaidi wa kugundua mambo mapya na mchapakazi  kuchapa kazi zaidi na zaidi bila kusahau Kumshirikisha Mungu katika kila Jambo.

Pia katika Hili tunapenda kuwashukuru wadau Mbali mbali wa Habari wakiwemo Bloggers wote wa Tanzania, Magazeti, Radio na TV kwa kuendelea kuonesha ushirikiano mkubwa ili kazi ziendelee kwa ufanisi mkubwa

Mwisho tunapenda kumshukuru kila mmoja wetu ambaye ni mdau mkubwa wa Tone Multimedia Group,  wote tupo pamoja katika kusherekea siku hii ya leo.

Imetolewa na,
Utawala
1 comment:

Anonymous said...HAPPY BIRTHDAY NJEMA

Tucheki kwenye kablog haka

http://mwenyekitiwamuda.blogspot.com