Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, July 9, 2014

BREAKING NEWS JUST IN:MKURUGENZI WA SWEET FM MBEYA EMANUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEOEMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & MBA Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam. 

Tutaendelea kuwapa Taarifa.

11 comments:

Anonymous said...

Inasikitisha kwa kweli lol!!

Anonymous said...

mpk naharisha sielewi imekuwaje mbuzax jamani

Twaahir Bagessi said...

Kazi ya mungu haina makosa,analosema kuwa linakuwa.

Anonymous said...

duh jamaa alikuwa mpganaj xan du rip mbuzax

Anonymous said...

duh uyo jamaa mbn ametoa machozi xana

Ramadhani Nchimbi said...

It is sad newz...R.I.P

Anonymous said...

R.I.P Bro.

Anonymous said...

Dah inauma sana! Pumzka kwa aman kaka etu

Saleh Demwa said...

Innah Lillah wa Innah Lillah Rajun
Tangulia kamanda tipo nyuma yako

Anonymous said...

R I P my Sangu School mate and mwanasheria mwenzangu.

Anonymous said...

R.I.P BROTHER