Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 23, 2014

TAARIFA YA KIFO CHA INJINIA EXON YOTHAM MWAKAJILA

Tunasikitika kutangaza kifo cha Ndugu yetu Marehemu Injinia Exon Yotham Mwakajila kilichotokea usiku wa kuamkia Jumapili, Mazishi yatafanyika kesho katika makaburi ya Sabasaba Jijini Mbeya. Kwa sasa msiba upo Nyumbani kwa wazazi wake Mabatini Mbeya. Taarifa ziwafikie ndugu, Jamaa na Marafiki popote pale walipo. Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya Marehemu

AMEN

4 comments:

Anonymous said...

Amen

JJ PERERA said...

Mungu ailaze roho yake pema peponi amen

JJ PERERA said...

Mungu ailaze roho yake pema peponi amen

JJ PERERA said...

Mungu ailaze roho yake pema peponi amen