Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 24, 2014

HARUSI YA EMILY MWAISANGO NA MIRANDA KILEO YAFANA USIKU HUU

Bwana Harusi Emily Mwaisango akimvisha Pete Mke wake Mpenzi Miranda Kileo katika Kanisa la Moravian Ushirika wa Mabibo
Bibi harusi Miranda Kileo akimvisha Mume wake Mpenzi Emily Mwaisango katika Kanisa la Moravian Mabibo

 Mashuhuda wakishuhudia Harusi 
 Mchungaji Nzowa akiendelea kuongoza Ibada ya Harusi ya Emily  Mwaisango na Miranda Kileo


Mchungaji Mwaisango akitoa Mbaraka wakati wa kumaliza Ibada
Mchungaji Mwaisango akitoa Neno kwa niaba ya Familia 
 Bwana na Bibi Nyabele I Kileo wakitoa neno la Shukurani Kanisani Baada ya Ibada
 Kila Mtu ana Furaha
 Keki
Mchungaji Mwaisango akiwa anaomba kwa ajili ya kufungua rasmi Sherehe ya Harusi ya Bwana na Bibi Emily Mwaisango
 Bwana na Bibi Emily Mwaisango Wakiwa wanakata Keki 
 Miranda Kileo akimlisha Keki mumewe Mpenzi Emily Mwaisango
Emily Mwaisango Akimlisha Mke wake mpenzi Keki ndani ya ukumbi wa Flamingo Jijini Dar es salaam
 Kumekucha hapa
 Bwana na Bibi Emily Mwaisango
 Amembeba .... Mke wake 

 Sasa wanagonga kwa ishara ya upendo
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango akiwa anapiga Cheers ishara ya Upendo
 Joniiiiiii........ Kila mtu anacheza lake..... twende sasa.......
 Mbele ni Baba Mzazi wa Emily Mwaisango Mzee Timothy Mwaisango akipiga Cheers kwa Ishara ya Upendo 
 Mshereheshaji MC Pilipili akiendelea kusherehesha 
 Hapa Joniii ikiendelea
Baba Mzazi wa Bwana Harusi Mzee Timothy Mwasisango akitoa nasaha kwa Bwana na Bibi Emily Mwaisango
 Mke wa Mzee Kileo akitoa Nasaha zake
Mzee Nyambele I. Kileo Akitoa nasaha zake

Picha na Mbeya Yetu

3 comments:

adam said...

congrats sana broo

Faraja Mwakamyanda said...

Mungu awape maisha mazuri ya ndoa yenu mupate watoto wa kike na wakiume

Faraja Mwakamyanda said...

Mpate watoto wa kike na wakiume Mungu aibariki ndoa yenu