Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, April 17, 2014

ZOEZI LA SAFISHA JIJI LA MBEYA LAENDELEA ,LEO IKIWA NI SIKU YA KUONDOA MAWE ENEO LA SOWETO.

 Askari wa Jiji wakiwa wanatoa Mawe yote yaliyopo pembezoni mwa barabara eneo la Soweto Jijini Mbeya
 Kazi ikiendelea

 Mmoja wa Askari wa Jiji Mwanamke akiwa amebeba jiwe kubwa kwenda kuweka katika gari
 Gari  la Jiji likiwa limepaki kwa ajili  ya kukusanya mawe hayo
Mmoja wa Askari wa jiji akibonda jiwe kulipunguza ili waweze kubeba na kupakia katika gari.
Picha na Mbeya yetu

No comments: