Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 22, 2014

NEWS ALERT: MADEREVA NA MAKONDACTA WA DALADALA WASHUSHA ABIRIA ENEO LA SOWETO OILCOM KUPINGA NJIA MPYA.

 Jamaa mwenye koti akidai kwa Dereva kurudishiwa nauli yake ambayo kondacta ametokomea nayo pasipo eleweka 
 Abiria wakiwa wamesimama wasijue wanaenda wapi 
 Abiria wengine wameamua kutembea kwa Mguu baada ya usafiri kuwa shida na Kushushwa katika Magari 
 Hao wanaondoka sasa 
 Kila mmoja akihaha..
 Afisa kutoka Jeshi la Polisi akiwa amefika kwa ajili ya kuweka hali sawa na kutuliza hali hiyo, ambapo hali kwa ni kuwa hakuna usafiri wa aina yoyote.
 Askari wa usalama wa Barabarani akiendelea kuweka Mambo sawa

 Abiria wakiendelea kushuka
 Konda akiwataka watu washuke
 Picha na Mbeya yetu Blog

1 comment:

Anonymous said...

busara itawale abiria hawana makosa kabisa jaman